Michezo
Ahmed Ally atoa onyo zito kwa walioandaa mipango ya kuiharibu Simba

ONYO ZITO WAPEWA WANAOISEMA SIMBA VIBAYA KWA MATOKEO YAKE
Meneja wa Habari na mawasiliano wa klabu ya Simba Ahmed Ally amewatolea la moyoni wanaoisema Simba vibaya isipofanya vizuri kwa kujidai wao ndio mashabiki haswa wa klabu hiyo.
Kuangalia video kamili tembelea ukurasa wetu wa Youtube Bongofive
Imeandaliwa na @witnessflavian24





