Michezo
Ahmed Ally awaomba Pamba Jiji wasiwakamie.,Marefa wawalinde Simba (Video)

Tunawaomba Pamba waje wacheze mpira, wasije kucheza kama wametumwa, wasije kucheza mpira wa hovyo ili kuwaumiza wachezaji wetu ili washindwe kucheza mechi ya Kimataifa, tunaomba waamuzi wawe macho. Bado hatujasahau suala la Moses Phiri, linatuuma mpaka leo” Ahmed Ally
kuangalia Video Kamili tembelea ukurasa wetu wa Youtube Bongo5