HabariMichezo

Ahmed Ally: Jean Baleke ni mtu hatari sana (+Video)

”Jean Baleke ni mtu hatari, amefanya kazi ambayo wanasimba tulitaka kuona akiifanya, anafunga na anaisaidia timu kupata ushindi.”- @ahmedally_

Ahmed ameongeza kwa kusema kuwa Katika sajili zote @simbasctanzania ndiyo imefanya usajili bora zaidi dirisha dogo akikwepa kumgusia mshambuliaji mpya wa Mtani wao Kennedy Musonda ambaye amecheza mechi mbili hana goli.

Host @fumo255 

Related Articles

Back to top button