HabariMichezo

Ahmed Ally: Kilichoimaliza Simba SC ni Mafanikio yake (+Video)

Ahmed Ally akiri waliingia vibaya ligu kuu 2021/22 “Tulidhani Yanga watakata pumzi wakawasha moto tu”Afisa Habari wa Simba SC @ahmedally_ amedai maambalizi ambayo waliyafanya katika msimu uliopita yaliwadanganya.

Amesema hayo akiwa kwenye mdahalo wa kuangalia tathmini ya Ligi Kuu ya 2021/22 na mchango wa serikali katika kuchochea ukuwaji wa mpira.

Related Articles

Back to top button