Michezo
Ahmed Ally: Simba bado tunajenga Timu

Afisa Habari na Mawasiliano wa klabu ya Simba Ahmed Ally Leo baada ya ushindi mnono dhidi ya Mbeya City amefunguka juu ya kikosi cha Simba bado kinajengwa hata kama wakishinda makombe yote wanayoshiriki.
Imeandikwa na kuandaliwa@Johnbosco_mbanga
Kuangalia video kamili tembelea ukurasa wetu wa YouTube