Habari
Ahukumiwa kunyongwa hadi kufa kwa kumuua Mpenzi wake

Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imemuhukumu Leo kunyongwa hadi kufa Grace Mushi (25) maarufu kama Neema baada ya kumtia kwa kumuua mpenzi wake Abdallah Sekama.
Grace alimuua mpenzi wake kwa kumchoma moto hadi kufa kwa kutumia mafuta ya Petrol, baada ya kumfungia ndani ya nyumba tukio alilolitenda Julai 16, 2021 eneo la Mbezi Makabe Dar es Salaam.
Imeandikwa na Mbanga B.