Habari

Ahukumiwa miaka 30 kisa Bangi Kilo 2 Mtwara

Mahakama ya Wilaya ya Nanyumbu imemuhukumu kifungo cha miaka 30 jela Rashid Said Binas (55) Mkulima na Mkazi wa Lowasa Wilaya ya Nanyumbu kwa kosa la kupatikana na dawa za kulevya aina ya bangi kiasi cha kilo 2.5.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mtwara, Issa Suleiman (SACP) ametoa taarifa hiyo leo March 12,2025 ambapo amesema Rashid amehukumiwa March 10,2025 baada ya kufikishwa Mahakamani kutokana na kukutwa akiwa amehifadhi bangi katika nyumba yake aliyokuwa akiishi ambapo aliihifadhi kwa lengo la kujipatia kipato/biashara

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents