
Producer @abbah_process amethibitisha kutokea kwa kifo cha mtu mmoja ambaye alikuwa kwenye gari ambayo @chino_kidd7 amepata nayo ajali akiwa na dansa wake.
Abbah ameandika “Rest in Peace brother, Tumepoteza Mwanafamilia Mmoja Aliyekua kweye Ajali ya jana, May God embrace him in his loving arms and grant him eternal peace.
#ForeverlnOurHearts
@nabeel 187