Burudani
Akaunti ya Instagram ya Nandy yadukuliwa
Akaunti ya mtandao wa Instagram ya staa wa Bongo Fleva African Princens Nandy yenye wafuasi milioni 6.3 na ikiwa verfied imedukuliwa usiku wa kuamkia leo.
Kupitia Snapchat Nandy amepost ujumbe huu.