Burudani

Akaunti ya Youtube ya Diamond yarudi baada ya kupotea kwa masaa kadhaa

Baada ya kupotea kwa masaa kadhaa akaunti ya youtube ya CEO wa WCB Diamond Platnumz imerudi baada ya uongozi wa lebo hiyo kusema kuwa wametambua kosa liko wapi na kulishughulikia kwa kuwasiliana na Youtube mako makuu.

Mwanzo walieleza kuwa akaunti hiyo ilidukuliwa na mdukuaji kwenda live kwa kutumia content ambayo haikuwa ya Diamond kwahiyo ilikiuka masharti ya Youtube.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents