Michezo
AL Hilal yawazunguka Yanga kinyama

Licha ya kuwa tayari ana makubaliano ya kujiunga Young Africans SC,Al Hilal SC watajaribu kumshawishi Jonathan Sowah ajiunge nao

Wanahitaji mshambuliaji atakayesaidiana na Nahodha Mohamed Abdelrahman ambae kwa sasa ni majeruhi

Wameliweka kipaumbele jina lake dirisha kubwa




