HabariMichezo

Al Merrikh 0-2 Yanga SC

Yanga wamefanikiwa kuondoka na ushindi wa magoli 2-0 dhidi ya Al Merrikh mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrikia katika Uwanja wa Pele nchini Rwanda

Mabao ya Kennedy Musonda 60’, Climent Mzize 79’ yametosha kuwapa ushindi huo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents