Uncategorized

Album mpya ya Rayvanny ‘SOUND FROM AFRIKA’ nyimbo 23, nyimbo tatu tu sio collabo

Kama ilivyokuwa ahadi ya @rayvanny kuwa mwaka huu tena mwezi wa kwanza lazima Album yake iwe mtaani ya #soundfromafrica Tayari amedondosha mikwaju 23 ya moto inayopatikana kwenye Album hiyo takribani ngoma 20 zote ameshirikisha wasanii ila ngoma tatu tu amefanya pekee yake.

Baada ya kuziamgalia ngoma zote hizo tuambie ngoma ipi unatamani kuisikiliza au msanii gani aliyopo kwenye Album hii unatamani kumsikiliza?

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents