Album ya Mbosso nyimbo 12, Diamond, Mr Flavour kutoka Nigeria, Darassa ndani

Rasmi tayari orodha ya ngoma 12 Album ya @mbosso_ imeachiwa usiku huu. Baada ya orodha ya ngoma hizo 12 Album yenyewe rasmi inaachiwa siku kesho.

Kwenye Album hiyo ya Definition of Love @diamondplatnumz ametokea kwenye ngoma mbili huku @rayvanny @darassacmg255 na @2niteflavour kutoka Nigeria wakitokea kwenye ngoma moja moja kila mmoja

Lakini pia @mbosso_ ameweka bonus track mbili huku mojawapo ni Mseleleko aliyomshirikisha @officialbabalevo

Related Articles

Back to top button