Bongo5 ExclusivesBongo5 MakalaBurudaniMuziki
Album ya Stamina Msanii bora Hip Hop imetoka, Ngoma 17 tu

Kupitia ukurasa wake wa Instagram @staminashorwebwenzi ameandika kuwa:-
“HAPPY BIRTHDAY TO ME
MUNGU ATUJALIE AFYA,NGUVU, BARAKA NA MAFANIKIO TELE TUENDELEE KUISHI KWA UPENDO NA AMANI ZAWADI YANGU KWENU TAYARI NIMEWAPA.
ALBUM YA MSANII BORA WA HIP HOP IMETOKA TAYARI NA INAPATIKANA KWENYE DIGITAL PLATFORM ZOTEEEEEEE.
NASUBIRI ZAWADI ZENU TU KWA KUSUPPORT HII
ALBUM SALUTE KWA PRODUCERS,WASANII NILIOWASHIRIKISHA NA WADAU WOTE
WALIOFANIKISHA HILI.
HAYA KASIKILIZE UJE UNIAMBIE HAPA DUDE LAKO
NOMA NI LIPI
LINK IPO KWENYE BIO YANGU
LETS GO0000000”
Written by @el_mando_tz