Album ya Weusi ‘Air Weusi’ ngoma 14, rasmi kuachiwa Ijumaa

Kundi la muziki la @weusiofficial ambalo linaundwa na wasanii wanee yaani @johmakinitz @gnakowarawara @nikkwapili na @lordeyesmweusi tayari limeachia Track List ya ngoma zinazipatikana kwenye Album yao ya #AirWeusi inayotarajiwa kuachiwa rasmi siku ya Ijumaa.

Track List hiyo ina mgoma 14..! Weka emoji ya 🔥 Kwa Weusi.

Related Articles

Back to top button