Michezo
Ali Kamwe afunguka kwa mara ya kwanza siri ya Kocha Pedro Concalves

Afisa habari wa klabu ya Yanga Ali Kamwe amefunguka juu ya yanayoendelea ndani ya klabu ya Yanga mara baada ya kuwasili kocha mpya Pedro Goncalves, Al Kamwe anadai kuwa kocha huyo kuna jambo zuri wapinzani wajiandae kwa ajili ya Yanga mpya.
Pia kuelekea mchezo wa klabu bingwa Afrika Yanga watakutana na FAR Rabat kutokea nchini Morocco mchezo huo utapigwa katika Dimba la New Amaan Complex tarehe 21/11/2025.
Kuangalia video kamili tembelea ukurasa wetu wa Youtube Bongofive.






