Michezo
Ali Kamwe: Ahmed Ally aache kiherehere, Yanga haimuhusu

Meneja wa Habari na mawasiliano wa Yanga @alikamwe ameelezea kuhusu ujio wa kocha mpya wa Yanga kwa siku tatu hizi, pia amekanusha uvumi wa kumuhitaji Fadlu Davis aliyewahi kuwa kocha wa Simba
Kuangalia video kamili tembelea ukurasa wa YouTube Bongo5






