Michezo

Ali Kamwe akataa Dua za Wanasimba na kuwaita wanafiki

YANGA TUNATAKA TUKASHINDE PALEPALE MOROCCO UWEZO TUNAO

Meneja wa Habari na mawasiliano wa klabu ya Yanga Ali Kamwe amefunguka kuelekea mchezo dhidi ya Far Rabat na akiwaahidi wanayanga kuwa Jumamosi ni ushindi kwao.

Unaipa alama ngapi Yanga kutoboa kwenye mchezo huo??

 

 

Imeandaliwa na @witnessflavian24

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents