Michezo
Ali Kamwe amwaga machozi Chamanzi

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa klabu ya Yanga Ali Kamwe leo baada ya Ushindi wa Yanga dhidi ya Azam 1-2 uwezo wa dube wamfanya atoe chozi mbele ya waandishi wa Habari.
Kuangalia video kamili tembelea ukurasa wetu wa YouTube Bongo5
Imeandikwa na kuandaliwa @Johnbosco_mbanga