Michezo

Ali Kamwe atema cheche Droo ya CAF kitaeleweka (Video)

ALI KAMWE ATOA NENO BAADA YA DROO YA CAF KUMALIZIKA

Leo katika Makao Makuu ya Klabu ya Yanga Jangwani mara baada ya Droo ya CAF kukamilika Afisa Habari wa klabu ya Yanga Ali Kamwe ametoa neno lake juu ya hali ya Kundi A ambalo yanga yupo.

Kuangalia video kamili tembelea ukurasa wetu wa YouTube Bongo5

 

Imeandikwa na kuandaliwa na @Johnbosco_mbanga

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents