Michezo

Ali Kamwe awacharua Simba, Wametukimbia

Meneja wa habari na mawasiliano wa klabu ya Yanga Ali Kamwe leo baada ya ushindi dhidi ya KMC ameamuwa kuwacharua simba baada ya kuhama uwanja wa KMC Complex, pia Ali Kamwe amefunguka juu ya kuhamia uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar kwenye michuano ya klabu bingwa Afrika.

 

 

kuangalia video Kamili tembelea ukurasa wetu wa YouTube Bongofive

 

 

 

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents