Michezo
Ali Kamwe: Mnaidharau Yanga ila kuna kitu tutawaonyesha heshima irudi

Kwenye mahojiano na @witnessflavian24 , Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga @alikamwe amemjibu Meneja wa Habari wa Watani wake Simba @ahmedally_ kauli yake baada ya Yanga kuondoa Viingilio kwenye mchezo wao.
“Kwanza haimhusu, hicho ni Kiherehere wapunguze ushauri kwenye mipango ya watu”
Mahojiano yote ya Ali Kamwe yapo Youtube ya Bongofive.
🎤 @witnessflavian24
🎥 @johnbosco_mbanga






