Bongo MovieBongo5 ExclusivesBongo5 MakalaBurudaniDiamond PlatnumzMuziki
Alichonifanyia Aunty Ezekiel sitokuja kusahau-Lukamba (Video)
Kwenye mahojiano yake na @el_mando_tz Lukamba ameeleza kwa urefu namna alivyopambana kujitafuta kwenye Uigizaji.
Anasema alipewa milioni 8 na Baba yake na zote akazipeleka kwenye kuigiza movie na akapata hasara.
Anasema alipoipeleka movie yake kwa Muhindi akaulizwa kuna muigizaji gani mkubwa?? Akawa hana hivyo ikabidi amtafute @auntyezekiel kwa lengo na kumuweka kwenye movie.
@auntyezekiel alitaka milioni 2.5 na yeye alikuwa na laki tatu tu na wakati huo hawajuani na @auntyezekiel na hajawahi kumwambia.
Mahojiano yote yapo kwenye akaunti yetu ya YouTube ya Bongofive.
Cameraman & Editor @samirkakaa