HabariMichezo

Alikamwe: Yanga kujenga uwanja juu ya Maji Jangwani

Afisa Habari na Msemaji wa klabu ya @yangasc @alikamwe amezungumzia kuhusu Uwanja mpya wa Yanga utakaoanza kujengwa Jangwani.

Ameeleza kuwa ndani ya miezi 6 Ijayo mchakato huo utaanza na uwanja utakaa Juu ya Maji kutokana na hali ya Jangwani.

Ameongeza kuwa kutakuwa na ukumbi mkubwa na ndio atakaoutumia kufanya sherehe zake za Harusi pale.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents