Muziki
Alikiba aachia chuma kingine ‘Jealous’ akimshirikisha Mayorkun kutoka Nigeria (+ Audio)

Staa wa muziki wa Bongo Fleva halazi zege kama alivyoahidi mwaka huu ni back2back ni kweli anaendelea kuyatimiza maneno yake.
Leo ameachia ngoma nyingine akimshirikisha msanii @iammayorkun kutoka nchini Nigeria
Ikumbukwe ngoma ya mwisho kuiachia kabla ya hii ni #Salute ambayo alimahirikisha msanii kutoka Nigeria @iamkingrudy na hii ya sasa ameshirikisha maanii kutoka huko @iammayorkun
Tuambie unampa asilimia ngapi @officialalikiba kwa ngoma hii #Jealous ..? Dondosha comment yako hapa chini.