Bongo5 ExclusivesBurudaniHabari

Alikiba akanusha kutembea na Bastola, ile ni Speedlight ya Camera

Wasanii wa muziki wa Bongo Fleva Diamond Platnnumz, Ommy Dimpoz na Hamisa Mobeto wamekutana Dubai wakila bata clu ya usiku siku ya jana, wasanii hao wakiwa kwenye mapumziko yao Dubai wamekutana na kukaa meza moja na kubadilishana mawazo.

Kupitia picha zilizopostiwa na mmoja ya team yao mfanyabiashara Kalito inawaonyesha mastaa hao wakiwa pamoja na kupiga nao picha ya pamoja huku meneja wa Diamond Sallam Sk akiwa miongoni mwao.

Diamond na Ommy Dimpoz walikuwa kwenye tofauti kwa muda mrefu na hivi majuzi walimaliza tofauti zao lakinni kwa upande wa Hamisa ni mwanamke ambaye aliwahi kuwa kwenye mahusiano na Diamond na baada ya kuachana hawakuwahi kuwa karibu tena.

Mbali na hilo @el_mando_tz alifanya mahojiano na Alikiba na kumuuliza kuhusu kudaiwa kutembea na Bastola.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents