Mahojiano

Alikiba amjibu Harmonize baada ya kuisifia album yake (+ Video)

Akiongea na @el_mando_tz @officialalikiba ameongea ni kwa namna moja anawashukuru mashabiki wake kwa sapoti kubwa ya Album waliyomuonyesha.

Pia ameelza ni kwa namna gani ana uwezo wa kutunga ngoma za AMAPIANO album mbili ndani ya wiki mbili akisema AMAPINAO ni muziki rahisi sana. Namshukuru sana @rayctanzania dada yangu namheshimu sana na nilikuwa nikimsikiliza”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents