Bongo5 ExclusivesBurudaniHabariMahojiano
Alikiba amkaribisha Harmonize SAMAKIBA, niliona mikwara yake
Baada ya @officialalikiba kuulizwa kuhusu ujio wa @harmonize_tz kwenye mechi yao na @samagoal77 amemkaribisha, Ameongeza kuwa alipna mkwara wa @harmonize_tz na kweli anamkaribisha kwenye mchezo wao.
Sio @harmonize_tz tu @officialalikiba amekaribisha wasanii wataotaka kushiriki.
Baada ya @officialalikiba kuulizwa kuhusu ujio wa @harmonize_tz kwenye mechi yao na @samagoal77 amemkaribisha
Ameongeza kuwa alipna mkwara wa @harmonize_tz na kweli anamkaribisha kwenye mchezo wao. Sio @harmonize_tz tu @officialalikiba amekaribisha wasanii wataotaka kushiriki.