Burudani

Alikiba amkosea Juma Jux

Kupitia kwenye kipindi chake cha RECAP & MANDO @el_mando_tz amezungumza namna Bifu la Jux na Alikiba linavyotaka kufanywa kuwa kubwa.

Anasema Mwijaku angetakiwa awe mtu kati kuweka sawa tatizo na sio kuwa miongoni mwa watu wanaokuza tatizo maana yeye ni mtu wa Media.

Inavyoonekana Alikiba hakusikiliza Interview ya Juma Jux ila Mwijaku akatengeneza mazingira ya kumfanya Alikiba apaniki na kuongea maneno ambayo asingetakiwa kuongea mbele ya Media kwa msanii kama Juma Jux.

Mwijaku angetakiwa awe mtu kati atumie Professionalism ku-balansi stori asiegemee upande wowote maana pale alikuwa Mtangazaji na sio Chawa, angeuliza Swali lake akakaa kimya Alikiba ajibu na sio kuchombeza.

Mtu wa Media unatakiwa kuwa mshuluhishaji wa migogoro/Tatizo kwa Source wako (Alikiba/Jux) na sio kukuza mgogoro/Tatizo kwa Source wake (Alikiba/Juz)

Uchambuzi mzima Upo katika akaunti yetu ya YouTube ya Bongofive.

Cameraman & Editor @samirkakaa & @mbanga

 

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents