BurudaniHabari

Alikiba ampa pole Davido kwa kufiwa na mtoto wake

Siku ya jana msanii wa muziki kutoka nchini Nigeria @davido alifiwa na mtoto wake wa kiume mwenye umri wa miaka mitatu kwa kuzama kwenye Swimming Pool.

Taarifa za Polisi kutoka Lagos zilithibitisha kifo hicho na kueleza kuwa wamewakamata wafanyakazi 8 wa @davido kwa ajili ya mahojiano zaidi.

Siku ya leo Taarifa zimetoka kuwa kati ya hao 8 waliokatwa wafanyakazi 6 wameavhiliwa.

Baada ya tukio hilo wasanii wengi na watu maarufu walimpa pole @davido mfano @harmonize_tz kutoka Tanzania na wengine.

Leo kupitia ukurasa wa Twitter wa @officialalikiba amempa pole @davido kwa kufiwa na mtoto wake.

@officialalikiba ameandika ujumbe kupitia Twitter wa kumpa Pole.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents