Bongo5 ExclusivesBurudaniHabari

Alikiba amuita Kajala Mama Mkwe

Katika show yake aliyoifanya kwenye uzinduzi wa Deluxe Edition kutoka kwenye album ya The Kind You know ya Marioo, Alikiba alimuita Kajala Mama Mkwe.

Alikiba alikuwa msanii wa mwishoni mwishoni kwenye show ya Marioo na aliimba wimbo mmoja tu.

Wimbo wa Mahaba ndio ambao Alikiba alitumbuiza hapa Werehouse Masaki. Mashabiki wameupokea kwa upendo mkubwa sana.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents