Burudani
Alikiba avunja ukimya sakata la Manara na Zaylissa

Staa wa Bongo Fleva Alikiba amempa ushauri Haji Manara kutokana na mkasa wa kuachana na Mke wake Zaylisah.
Alikiba anasema Manara alikuwa mwalimu wa Madrasa lakini pia alikuwa mwanafunzi wa Madrasa.
Mahojiano yote yote yapo YouTube ya Bongofive.
Credit by @el_mando_tz & Abbrah255