Burudani
Alikiba awaonyesha wasanii wenzake Ubabe wake kwenye muziki
Kupitia kwenye kipindi chake cha RECAP & MANDO @el_mando_tz ameizungumzia ngoma mpya ya Dully Sykes na Alikiba Zali.
Anasema kuwa Alikiba kimuziki bado yupo sana kwa namna anavyofanya muziki wake unavyoendana na kizazi hiki.
Anafanya muziki ambao awakamata vijana wa kileo tofauti hata na wasanii wa kizazi hiki, ngoma ya Zali kwa sasa ndio wimbo pendwa mitandaoni.
Uchambuzi mzima upo katika akaunti yetu ya YouTube ya Bongofive
Cameraman & Editor @samirkakaa