
Kupitia ukurasa wake wa Twitter staa huyo wa muziki wa Bongo Fleva ambaye ni CEO wa lebo ya @kingsmusicrecords ameeleza hayo.
@officialalikiba amepost ujumbe ule akiambatanisha na baadhi ya picha akiwa studio na kueleza kuwa kuwa “Happy to be back in my zone, can’t wait to share these beautiful songs with y’ll 🔊🎼🔥”
Unahisi @officialalikiba anakuja na ngoma ya aina gani?? #Bongo5Update