Alikiba hapoi 2021, aja na ngoma nyingine ameimba Kifaransa ‘INFEDELE ‘ ( Audio)

Ndani ya mwezi mmoja huu wa kwanza @officialalikiba amehusika katika ngoma nne na zote kali ya kwanza ni #NAKUPENDA aliyoshirikishwa na DJ kutoka Afrika Kusini @djsbulive ya pili ni #PROUDOFYOU aliyoshirikishwa na mr burudani @darassacmg255 ya tatu ni #INLOVE aliyoshirikishwa na @otilebrown kutoka Kenya na hii ni mali yake #INFELE kwa lugha ya Kifarasa na kwa Kiingereza likimaanisha INFIDELITY maana yake kwa Kiswahili likiwa ni KUKOSA UAMINIFU.

Unampa asilimia ngapi @officialalikiba kwa mdundo huu mpya kwenye masikio ya Watanzania..?

 

Related Articles

Back to top button
Close