Burudani

Alikiba kukopi wimbo wa Ubuyu na Kufutwa

Kupitia kwenye kipindi chake cha RECAP & MANDO @el_mando_tz ameuzungumzia wimbo mpya wa Alikiba UBUYU ambao ameutoa jana na ukafutwa Youtube.

Anasema kwa muda ambao Alikiba amekaa kimya hajatoa ngoma, Ubuyu bado sio Level zake hata kama ni Singeli, angetakiwa afanye Project kubwa zaidi zinazoendana na jina lake kama Mfalme wa muziki.

Ukija kwenye Upande wa Video pia sio Standard ya Alikiba, yeye na ingetakiwa Iwe Project ya kusimamisha nchi kutokana na ukubwa wake.

Kwenye upande wa Maudhui yamekaa sawa licha ya kuondolewa Youtube kwa malalamiko kwamba ame-copy na ku-paste.

Anasema Alikiba haja-copy na Ku-paste bali ame-sample wimbo kitu ambacho kinaruhusiwa na unatoa tu Credit kwa muhusika.

Uchambuzi mzima upo Katika akaunti yetu ya YouTube ya Bongofive.

Cameraman & Editor @samirkakaa & @mbanga

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents