Alikiba, K2ga, Abdukiba na Tommy Flavour waachi wimbo ‘Ndombolo’ (+ Audio)

Uliwamisi wasanii kutoka kundi la @kingsmusicrecords chini ya @officialalikiba kwa kiasi gani…? Sasa wanakwambia THE WAITING IS OVER 🙌 wamekuletea goma la kwenda #NDOMBOLO wanakuuliza wewe unachezaje..?

Hapa kuna @officialalikiba @k2ga_tz @tommyflavour na @officialabdukibaa wanakuuliza sasa wewe unachezaje..? Tuambie unawapa asilimia ngapi kwa goma hilo la kuchezeka kabisa #Ndombolo ..? Link ipo kwenye bio za Instagram za wasanii wote hapa ..!

Related Articles

Back to top button