Bongo5 ExclusivesBurudaniMahojiano

Alikiba na Diamond ni kama Simba na Yanga – Juma Lokole

Mtangazaji wa WasafiFm #JumaLokole ameeleza kuwa alifurahi sana alipoona Boss wake @diamondplatnumz amepost wimbo wa @officialalikiba na kusema anaupenda.

Akiongea na @el_mando_tz #JumaLokole ameongeza kuwa ni muda sahihi sasa @officialalikiba na @diamondplatnumz waige walichofanya @wizkidayo na @davido kuandaa Tamasha la Pamoja.

Juma amesema kuwa kwa upande wake anapenda nyimbo nyingi za @officialalikiba na huwa anazisikiliza lakini AJE ni wimbo wake pendwa wa muda wote.

Pia hata TeamKiba huwa wanasikiliza sana nyimbo za @diamondplatnumz hata @officialalikiba mwenyewe.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents