Kutoka kwenye kurasa zao za mitandao ya kijamii @officialalikiba na @officialnandy wamepost picha hizi huku wakisindikiza na Caption kuwa tukutane XXL ya CloudsFm.
Unahisi @officialalikiba na @officialnandy wana jambo gani leo???