Alikiba ndani ya album ya DJ SBU kutoka Afrika Kusini na ngoma ya Nakupenda (+ Video)

Miaka miwili iliyopita ngoma ya #Nakupenda ya @djsbulive kutoka Afrika Kusini aliyomshirikisha msanii kutoka Tanzania @officialalikiba ilipukwa jikoni kama inavyoonekana hapo

Ngoma hii ya #Nakupenda inapatikana kwenye Album ya @djsbulive ya #HOMECOMING THE AFRICAN ODYSSEY ambayo tayari imeshatoka na ngoma hii inafanya vizuri sana katika ngoma zote zilizopo kwenye Album hiyo.

@officialalikiba anaonekana kwenye Album ya msanii mwingine kutoka njee baada ya kuonekana kwenye Album ya @timayatimaya ambapo alikuwa kwenye ngoma iliyojulikana kwa jina la #Number one ambayo ilitoka mwaka jana ingawa inasemekana pia @officialalikiba ana Collabo moja kubwa sana na @timayatimaya

@djsbulive amekuwa karibu sana na @officialalikiba na kama mnakumbuka ndio partner wake kwenye kinywaji cha MOFAYA ambapo inaelezwa kunarudi muda sio mrefu baada ya mambo ambayo yapo nje ya uwezo wa @officialalikiba hayajakaa sawa.

Bofya hapa chini:

https://www.instagram.com/tv/CIse7-hB0i9/

https://www.instagram.com/tv/CIse7-hB0i9/

Related Articles

Back to top button
Close