Bongo5 ExclusivesBurudaniHabariMahojiano

Aliyemchafua Alikiba mtandaoni aomba msamaha, niliongea uongo walinipanga cha kuongea

Dada anayejulikana kwa jina la #Lulu amemuomba @officialalikiba msamaha baada ya kumchafua mtandaoni.

Akifanyiwa mahojiano na moja ya online media Lulu alieleza kuwa yeye ndio aliyempaka @officialalikiba Make Up na @officialalikiba alimlipa elfu ishirini.

Lulu aliongeza kuwa @officialalikiba ni bahili na hana hela ya kumlipa ndio maana alimpaka make Up vibaya.

Akiongea na @el_mando_tz lulu amesema kuwa aliyoongea yote ni uongo na hajawahi kuoanana na @officialalikiba na maneno aliyoongea alipangwa na waliomhoji.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents