Burudani

Aliyemteua Steve Nyerere kuwa msemaji wa wasanii ala shavu la Ujumbe Mfuko wa Utamaduni

 

Rais wa Shirikisho la Wasanii wa Muziki Tanzania @addonovember ambaye alimteua @stevenyerere2 kuwa msemaji wa Shirikisho hilo ameteuliwa na Waziri wa Sanaa @mohamed_mchengerwa kuwa Mjumbe wa Bodi ya Mfuko wa Utamaduni.

 

Hata hivyo Steve aliondolewa kwenye nafasi hiyo baada ya kupingwa waziwazi na wasanii.

Mfuko huo ni ule ulioanzishwa na serikali kwaajili ya kuwainua wasanii kupitia mikopo ambapo tayari kuna wasanii ameanza kunufaika.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents