HabariMichezo

Ally Kamwe afunguka kwa mara ya kwanza akiwa Afisa Habari wa Yanga (+Audio)

Afisa Habari mpya wa Klabu ya Yanga, Ally Kamwe amesema kuwa wapinzani wao kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa, Al Hilal ni timu ndogo sana tofauti na inavyozungumziwa na wachambuzi wa soka.

Ally Kamwe ameyasema hayo kupitiwa Wasafi fm, Yanga itashuka kwenye uwanja wa Mkapa Oktoba 8, 2022 kukabiliana na timu hiyo kutoka Sudan.

 

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents