Bondia Mtanzania Ally Hamisi Mwerangi anatarajia kuingia ulingoni kupigana na Mmexico, Sergio Chirino Sanchez siku ya Jumamosi Machi 18, 2023.
@ally_mwerangi.585 atamkabili, Chirino Sanchez pambano la raundi 10 uzito wa Featherweight.
Kwa upande wake. Mwerangi amesema amejiandaa vema kwa pambano na yupo tayari kumkabili mpinzani wake siku hiyo.
Pambano hilo litafanyika jijini Chihuahua nchini Mexico katika Ukumbi wa Gimnasio Manuel Bernardo Aguirre.
Imeandikwa na @fumo255
#Bongo5Updates
@ally_mwerangi.585
@lpsports__