Michezo
Ambokile atoa asilimia 5 kwa Simba kufuzu robo fainali CAF

AMBOKILE ATOA ASILIMIA 5 KWA SIMBA KUVUKA ROBO FAINALI CAF
Mchambuzi wa soka nchini ibrahim_ambokilee ametoa mtazamo wake juu ya klabu ya Simba kuelekea mchezo wake wa marudiano dhidi ya Esparance de Tunis.
Je, unakubaliana na mtazamo wa ibrahim_ambokilee juu ya Simba??
Imeandaliwa @witnessflavian24




