Michezo
Ambokile atoa utabiri wake Yanga dhidi ya Al Ahly

AMBOKILE: YANGA ANA ASILIMIA 35 TU KUMFUNGA AL AHLY
Mchambuzi wa mpira @ibrahim_ambokilee ametoa mtazamo wake wa klabu ya Yanga kuweza kuifunga Al Ahly na kuipa asilimia 35 tu za ushindi dhidi ya Al Ahly.
Je, kwa mtazamo huu unaungana na @ibrahim_ambokilee
Kuangalia video kamili tembelea ukurasa wetu wa Youtube Bongofive
Imeandaliwa @witnessflavian24




