Michezo
Ambokile awavaa wanasimba kumkataa Mpanzu

AMBOKILE: ANAESEMA GUEYE NI ZAIDI YA MPANZU NI MUHUNI KWENYE MPIRA
@ibrahim_ambokilee amewapa makavu baadhi ya mashabiki wa simba wanaomsema vibaya Elie Mpanzu baada ya ujio wa winga Gueye kwenye kikosi cha Simba.
Je, unaona Gueye ni zaidi ya Mpanzu katika kikosi cha Simba??
Imeandaliwa @witnessflavian24




