Mahojiano
Aristote: Harmonize yupo sahihi kushtaki, Rayvanny anapost anazitolea wapi na anajua ni kosa kisheria (+ Video)
Mfanyabiashara na mjasiriamali @aristotee leo amepiga stori na @el_mando_tz na kutoa amoni yake kuhusu mambo yanayoendelea kati ya Kajala na Paula na kumshauri mama yake Paula ambaye ni Kajala.
Aristote amemtetea Harmonize na kusema yupo sahihi kwenda kushtaki.