Mahojiano

Aristote: Mwanaume aliyekamilika hawezi kuangalia video za utupu za mwanaume mwenzake (+ Video)

Mfanyabiashara na mjasiriamali @aristotee leo amepiga stori na @el_mando_tz na kutoa amoni yake kuhusu mambo yanayoendelea kati ya Kajala na Paula na kumshauri mama yake Paula ambaye ni Kajala

“Kajala anetakiwa kutumia nguvu nyingi kumsomesha mtoto sio kutaka mtoto wake atrend ameniumiza sana kama mzazi, amemfanya mtoto awe wa mjini nashangaa watu wanamuita mtoto wa shule hiyo shule anayesoma isije ikatokea wazazi wengine wakaenda kuwaondoa watoto wao kwenye hiyo shule anayesoma Paula. @aristotee

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents